Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa
Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga
wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu
mbalimbali hapa nchini mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
.Rais wa Jamhuri

ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa
Kamati hiyo ya Profesa Abdulkarim Hamis Mruma aliyekuwa akitoa neno la Shukrani
mara baada ya wajumbe wote kuapa.
Mwenyekiti wa
Kamati hiyo ya Uchunguzi Profesa
Abdulkarim Hamis Mruma akimshukuru Rais Dkt. John Magufuli mara baada ya
kuzungumza kwa niaba ya wanakamati wenzake.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwenyekiti wa Kamati
Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye
madini ulio ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali sehemu mbalimbali hapa
nchini Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha mmoja wa wajumbe
wa Kamati hiyo Profesa Justinian Rwezaura Ikungula Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha mmoja wa wajumbe
wa Kamati hiyo Profesa Joseph Buchweishaija Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇