LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 27, 2017

MWANARIADHA SIMBU APOKELEWA BUNGENI LEO



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), leo tarehe 27 Aprili, 2017 amempokea mwanariadha na mshindi wa tuzo ya dhahabu kwenye Mumbai Marathon Bw. Alphonce Simbu na kumtambulisha kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma.

Bw. Simbu aliongozana  na Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Kujenga Taifa ameweza pia kukutana na Mhe. Kassim M. Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Serikali.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), leo tarehe 27 Aprili, 2017 amempokea mwanariadha na mshindi wa tuzo ya dhahabu kwenye Mumbai Marathon Bw. Alphonce Simbu na kumtambulisha kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma. Bw. Simbu aliongozana  na Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Kujenga Taifa ameweza pia kukutana na Mhe. Kassim M. Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Serikali.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages