LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 29, 2017

DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI

jengo la Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai ambapo umezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,chini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Donge,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Dkt.Khalid Salum Mohamed wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua wasili Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Wanafunzi wa kikundi cha dufu katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,wakimuongoza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipofika kuuzindua Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji hicho uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi(katikati).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Baadhi ya Waislamu na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha zake baada ya Uzinduzi wa Msikiti huo,ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Baadhi ya Viongozi Mashekhe na Waislamu mbali mbali walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha zake baada ya Uzinduzi wa Msikiti huo,ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto aliyesimama) alipotoa nasaha zake baada ya Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Funguo za Msikiti kutoka Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Mohamed Raza Daramsi (kushoto) baada ya Uzinduzi ulifanyika leo Kijijini hapo,Msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages