Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu
na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo
Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo Machi 22, 2017

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa ujumbe
aliofuatana nao Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha
Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam
Machi 22, 2017

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Mjumbe wa
Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe
Guo Jinlong na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Machi 22, 2017

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Mjumbe wa Kamati Kuu
na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo
Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam Machi 22, 2017

Rais
Dkt John Pombe Magufuli akifurahia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu na
Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong
alipokuwa akisalimia viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam
Machi 22, 2017

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mjumbe
wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC),
Mhe Guo Jinlong na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Machi 22,
2017

Mjumbe
wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC),
Mhe Guo Jinlong akisalimiana na viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar
es salaam Machi 22, 2017

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu
Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong
wakishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira na Balozi wa China Nchini Tanzania Dkt.Lu
Youqing wakitia saini mkataba moja ya mikata mitatu

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu
Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong
wakishuhudia Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima na Balozi wa China Nchini
Tanzania Dkt.Lu Youqing wakitia saini mkataba moja ya mikataba mitatu

Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu
Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong
wakishuhudia na Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa
za Kulevya Fred Kibuta na Balozi wa China Nchini Tanzania Dkt.Lu
Youqing wakitia saini Mkataba moja kati ya mikataba mitatu
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇