Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Rioba, akiendesha semina ya kunoa weledi wa taaluma ya uandishi wa habari kwa waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Dk. Rioba ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ana shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi ya Jamii aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Rioba, akiendelea kutoa 'nondoz' kwa wafanyakazi hao wa UPL, huku wafanyakazi hao wakimsikiliza kwa makini sana
Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Rioba, akifafanua mada zake kwenye semina hiyo ya kunoa weledi wa kitaaluma
Washiriki wa semina hiyo wakiwa ukumbini
Dk. Ayub Rioba, akiendelea kutoa mada kwenye semina hiyo
Washiriki wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Dk. Rioba
Yassin Kayombo (aliyesimama) akijitambulisha kwa Rioba (kulia) na kwa washiriki wengie wa semina hiyo
Mgaga akijitambulisha
Jongo akijitambulisha
Mnkondo akijitambulisha
Ally akijitambulisha
Furaha Omari akijitambulisha
Gailanga akijitambulisha
Utambulisho ukiedelea
Utambulisho ukiendelea
Washiriki wakiwa ukumbini
Dk. Rioba akiendelea na semina hiyo
Washiriki wakiwa katika kundi la kwanza kujadili mada
Washiriki katika kundi la pili kujadili mada
Washiriki katika kundi la tatu kujadili mada
Washiriki kundi la nne wakijadili mada
Dk. Rioba akipitiapitia mada zake wakati akisubiri mrejesho wa maswali aliyowapa washiriki
Dk. Rioba akijadiliana jambo na baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakati wa mapumziko. Kulia ni Furaha Omar na Bashir Nkoromo
Dk. Rioba akijadiliana jambo na baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakati wa mapumziko. Kulia ni Furaha Omar na Bashir Nkoromo.
Dk. Rioba akisifu mpangilio wa habari na uzuri wa habari kwenye gazeti la Uhuru la leo wakati akitoamada kwenye semina hiyo.
Kaimu Meneja wa Rasilimali Watu (HR) wa UPL, Paul Mg'ong'o akitoa neno la shukurani kwa Dk. Ryoba(kulia) mwishoni mwa semina hiyo
Kaimu Meneja wa Rasilimali Watu (HR) wa UPL, Paul Mg'ong'o akitoa neno la shukurani kwa Dk. Ryoba(kushoto) mwishoni mwa semina hiyo.
Washiriki wakisikiliza nasaha za Mg'ong'o
Halafu picha ya kumbukumbu, mwishoni mwa semina hiyo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇