
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Pindi Chana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam
.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Silima Kombo Haji kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sudani, Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kasim
Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wapili
kutoka kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu
Nchemba(Wakwanza kulia) , Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Hamad Masauni
(Wakwanza kushoto) pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Thobias Andengenye(Watatu kutoka kushoto waliosimama mstari wa
nyuma) na Mabalozi Pindi Chana(Wakwanza kulia walisimama mstari wa nyuma
) , Balozi Matilda Masuka(Wapili kutoka kulia waliosimama mstari wa
nyuma), Balozi Abdallah Kilima(Wapili kutoka kushoto mstari wa nyuma) na
Balozi Silima Kombo Haji (Wakwanza kushoto waliosimama) mara baada ya
tukio la Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Abdallah Kilima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Matilda Masuka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini,
Ikulu jijini Dar es Salaam.

Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akila kiapo
cha Ahadi ya Uadilifu pamoja na Mabalozi Pindi Chana, Balozi Silima
Kombo Haji, Abdallah Kilima pamoja na Balozi Matilda Masuka mara baada
ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇