![]() |
| Marehemu Edwin Mselle enzi za uhai wake |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadick kwenye mazishi hayo |
![]() |
| Waombolezaji |
![]() |
| waombolezaji |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisaliiana na Paroko wa Kanisa Katoliki Mwika, Emmanuel tumaini wakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana akia na viongozi na waombolezaji wengie kwenye mazishi hayo |
![]() |
| Upande wa wa Ndugu wa Marehemu wakiwa kwenye mazishi hayo |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana akiwa amesimama na viongozi na waombolezaji wengine wakati wa ibada ya kuomea marehemu wakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Wanakwaya wakiimba nyimbo za maombolezo kwenye mazishi hayo |
![]() |
| Ibada ya kuombea marehemu ikifanyika wakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Waombolezaji |
![]() |
| Waombolezaji |
![]() |
| Muombolezaji |
![]() |
| Waombolezaji wakilachakula |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa salam za rambirambi zake binafsi, CCM na za Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli wakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Kinana akikabidhi rambirambi kutoka CCM na Jumuia zake kwa Baba wa Marehemu Edwin, Christopher Mselle wakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Kinana akimpa pole Padre Dackshen Hangai wakati wa mazsihi hayo. |
![]() |
| Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba jeneza kwenda eneola maziko, wakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Vijana wa UVCCM wakiwasili na jeneleza lenye mwili wa marehemu katika eneo la maziko |
![]() |
| Kinana akiwasili eneo la mazikowakati wa mazishi hayo |
![]() |
| Taratibu zikifanywa na Padre kabla ya kuingiza jeneza kaburini |
![]() |
| Huyu kuku naye alihudhuria mazihi hayo, na wengi kutafsiri kwamba, Marehemu amezikwa kwa baraka sana |
![]() |
| Padre akisoma maandiko matakatifu ya biblia kabla ya mwili kuingizwa kaburini |
![]() |
| Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kaburini |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka udongo kaburini |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akimwaga udongo kaburini wakati wa maziko |
![]() |
| Baba na Mama wa marehemu wakiweka udogo kaburini. TAFADHALI ENDELEA KUTAZAMA PICHA ZAIDI ZA MSIBA HUU. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO |





























































No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇