Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari
28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia,
kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika
(AU).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017
wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia,
kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika
(AU).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa,
Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja
wa Afrika (AU).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati
akielekea
kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa
Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇