Wapinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo wanasema mazungumzo ya namna Rais Joseph Kabila (pichani) atakavyoondoka
madarakani yanalegalega na yamkini yakasambaratika.
Kwa
mujibu wa FĂ©lix Tshisekedi mmoja kati ya vinara wa upinzani, pande
husika katika mazungumzo hayo zinakaribia kusambaratika kuliko kupata
suluhisho.
Jana mazungumzo baina ya serikali na vyama vya upinzani chini ya upatanishi
wa Kanisa Katoliki yamefanyika mjini Kinshasa. Jana Alhamisi makasisi
wapatanishi walikutana na Rais Kabila pamoja na kiongozi mkongwe wa
upinzani Etienne Tshisekedi/KUSOMA ZAIDI>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇