Bwana harusi Louis Munishi akiwa na mkewe Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es SalaamBwana harusi Louis Munishi akiwa katika pozi na mkewe, Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es SalaamBaba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi..// KWA PICHA ZAIDI ZA KUMBUKUMBU YA HARUSI HII///BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇