Rais John Magufuli (kulia), akimlaki mgeni
wake, Rais wa Zambia, Edgar Lungu, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Novemba 27,
2016.(PICHA NA IKULU)
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli (kushoto) amlaki mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya
kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli (kulia) akiwa na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama kwa
ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara baada ya kiongozi huyo
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya
kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno akipokea shada ya maua mara
baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha
na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno kwa
viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama mara baada ya kiongozi huyo
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua gwaride rasmi i mara tu
baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu kwa Makamu wa Rais Mhe Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe kassim Majaliwa baada ya kuwasili katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akisalimiana na mabalozi
wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika nchini mara tu baada ya kupokewa na
mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya
kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzwadia kinyago
cha Kimakonve cha "Umoja" na picha ya kuchora ya tembo na Mlima
Kilimanjaro na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby
Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam jioni ya leo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇