Nov 1, 2016

KINANA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha ofisini kwake Spika wa bunge la Afrika mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na  Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages