Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Shina la Pamba Road Dar es Salaam, Sharik Choughule, viongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Art of Living, walipokwenda Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, hivi karibuni, kumkabidhi msaada wa vyakula vyenye thamani ya sh. milioni kumi, ukiwa ni kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera, Septemba 22, 2016. Kushoto Neha Movaliaya na kulia ni Nishitha Kulshreshtha na Nish Patel
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipokea sehemu ya msaada wa vyakula vyenye thamani ya sh milioni kumi, kutoka kwa viongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Art of Living, ukiwa ni kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera, Septemba 22, 2016. Kutoka kushoto ni Nishitha Kulshreshtha, Nish Patel, Sharik Choughule ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Shina la Pamba Road, Dar es Salaam na Neha Movaliaya.

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na viongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Art of Living, ofisini kwake jijini Dar es Salaam, baadaya viongozi hao kumkabidhi msaada wa vyakula vyenye thamani ya sh. milioni kumi, ukiwa ni kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera, Septemba 22, 2016.
Your Ad Spot
Oct 9, 2016
Home
Unlabelled
VIONGOZI WA MFUKO WA KIMATAIFA WA ART OF LIVING WALIPOMKABIDHI MKAZIDHI WAZIRI MKUU MSAADA WA VYAKULA KWA AJILI YA WAARITHIRIKA WA MAFURIKO YA KAGERA
VIONGOZI WA MFUKO WA KIMATAIFA WA ART OF LIVING WALIPOMKABIDHI MKAZIDHI WAZIRI MKUU MSAADA WA VYAKULA KWA AJILI YA WAARITHIRIKA WA MAFURIKO YA KAGERA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇