Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika
picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya
Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa moja ya Hundi ya USD 100,000, kutoka kwa kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin aliyechangia jumla ya kiasi cha dola za Kimarekani
250,000/- kwa ajili ya waathirika wa Maafa ya Tetemeko lililotokea mkoani
Kagera. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani
Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akiwaombea dua Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇