LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 22, 2016

MANGULA ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI KUUNGA MKONO VIJANA WANAOSOMA NA WALIOHITIMU VYUO VIKUU 20 WALIOWEKA KAMBI KUFYATUA MATOFALI KWA AJILI YA UJENZI WA MABWENI NA NYUMBA ZA WALIMU SHUE YA SEKONDARI NASIBUGANI, KISARAWE MKOA WA PWANI LEO

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akishiriki kufyatua matofali leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani. Mabweni ni kwa ajili ya Wanafunzi wa Kidato cha tano na cha sita, ambao kwa sasa wanalala chini katika chumba cha maabara ya shule hiyo.
  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akichangaya saruji na mchanga, wakati akishiriki kufyatua matofali leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani.
  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akishiriki kufyatua matofali leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani. Aliyevaa shati la kijani ni Katibu Msaidizi wa CCM mkoa wa Pwani, Abihudi Shilla akisaidiana na Mzee Mangula
  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaidiana kubeba tofali na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Sanga, baada ya kufyatua tofali hilo, wakati akishiriki kufyatua matofali leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani.
 Mkuu wa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Filbarto Sanga akimweleza jambo, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula aliyetembelea eneo la ufyatuaji matofali kabla ya kushiriki ufyatuaji huo leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani. Kulia ni Mwenyekiti wa Kambi ya Vijana hao, Mwita Myamkururu.
  Mkuu wa wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, Filbarto Sanga akimweleza jambo, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula aliyetembelea eneo la ufyatuaji matofali kabla ya kushiriki ufyatuaji huo leo, kuunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya jenzi wa mabweni na nyumbaza walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Hillary Bwagidi
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula, akikagua matofali yaliyokwishafyatuliwa na vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabagani, iliyopo Kisiju, Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani Mkuu wa wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, alipofika kuwaunga mkono vijana hao leo. Nyuma yake ni Mkuuwa wilaya ya Mkuranga, Filbarto Sanga  na katibu Msaidizi wa CCM mkoa wa Pwani, Abiudi Shilla. Picha zote na Bashir Nkoromo-Official CCM Blog.  PICHA ZINGINE KEM KEM ZA TUKIO HILI/>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages