Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, kutoka Tanzania, Bi. Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi
wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki
ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya
Magharibi "B"Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa
hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha
Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja
Baadhi ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa
Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki
uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya
Magharibi "B"Unguja
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na
Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel F.Kigeda wakati alipofika
kuufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika
Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani
Wilaya ya Magharibi "B"Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wabunge mbali mbali wa Bunge la
Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao
cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇