Hii ni zawadi ya heshima (tuzo) iliyotolewa na kampuni ya Puma Energy Tanzania na kukabidhiwa kwa mshindi wa kwanza,Mwanafunzi wa darasa la sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent.
Mkurugenzi Mkuu kutoka kampeni ya Puma Energy Tanzania Ltd,Philippe Corsaletti akimkabidhi tuzo/zawadi ya Begi na cheti mwanafuzi wa darasa la sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka 2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Mashindano hayo yalihusisha shule kumi kwa upande wa Dar Es Salaam ambazo ni Mwananyamala,Kisutu,Bunge,Kisiwani,Mchangani,Mnazini,Mwananyamala B,Mikocheni,Mtendeni,Kisutu,Kisiwani na Ugindoni,Shule nyingine tatu ni kutoa mkoa wa Geita ambazo zitashiriki na mchakato wa kuwapata washindi,matokeo ya washindi wa mwisho yatatangazwa wakati wa kilele cha cha wiki ya Usalama barabarani ambayo inatarajia kufanyika hivi karibuni
Mwanafuzi wa darasa la sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent akilia kwa furaha mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka 2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamanda Mohamed Mpinga akimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la sita,Shaaban zawadi ya Begi na Cheti,kutoka shule ya msingi Bunge baada ya kuibuka mshindi wa tatu katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka 2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Kamanda Mohamed Mpinga akimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la sita Antonia Anthony zawadi ya Begi na Cheti,kutoka shule ya msingi Mwananyamala baada ya kuibuka mshindi wa pili katika Kilele cha shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka 2016,hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya Puma Energy Tanzania ilifanyika mapema leo katika viunga vya shue ya msingi Bunge.
Picha ya Pamoja na Washindi watatu shindano la Uchoraji kwa ajili ya kuhamasisha usalama barabarani katika shule za msingi jijini Dar Es Salaam kwa mwaka 2016.
Baadhi ya Wanafunzi walioshiriki na kuibuka na zawadi kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania .
Mkurugenzi Mkuu kutoka kampeni ya Puma Energy Tanzania Ltd,Philippe Corsaletti alisema kuwa shindano hilo linalenga kusaidia kuelimisha Wanafunzi wa shule za msingi katika masuala ya Usalama barabarani."Mpangp wetu wa usalama barabarani kwa mashule hapa Tanzania ulianza toka mwaka 2013 na mpaka sasa shule za msingi zipatazo 30 zimeshiriki,ikiwa ni jumla ya wanafunzi 38,638",alisema Philippe.Alisema kuwa shindano hilo pia linalenga kumpatia Mwanafunzi nafasi ya kushiriki mawazo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇