LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 27, 2016

BABA YAKE HUMPHREY POLEPOLE AZIKWA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM


 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humprey Polepole akizungumza wakati wa ibada maalum ya kumuombea Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi katika kanisa la KKKT Ushirika wa Segerea.
Picha ya Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba na Mkewe, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Engineer Nyamuhanga, Katibu wa CCM Ilala pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Ndugu Glorious Luoga wakati ya Ibada ya kumuombea marehemu Baba mzazi wa Humphrey Polepole katika kanisa la KKKT usharika wa Segerea.
 Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole kwenye msiba wa Mzee

Jaji Warioba na Mkwewe wakitoa heshima ya mwisho
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburi
 Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Mzee hezron Polepole.
 Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Wariobaakiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Humphrey Polepole.
Humphrey Polepole akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa tarehe 26Juni 2016 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages