Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi na Rais Mstaafu Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mjumbe
wa Kamati Kuu Maalum ya watu 7 inayoongoza Chama Cha CPC na Serikali ya Jamhuri
ya Watu wa China katika Ofisi za Makao Makuu ya CPC zilizopo Grand Hall jijini
Beijing, China.
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika moja ya vikao vyake akiwa ziarani China.
Wajumbe walioongozana na Mkiti
wa CCM wakiwa ktk picha ya Pamoja, Kutoka kulia Mhe Prof Mbarawa, Mhe Dkt
Kamani, Mhe Salma Kikwete, Balozi Shimbo, Mhe Jakaya Kikwete, Mhe Zakia Meghj, Mhe
Maua Daftar, Mhe Dkt Mgana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇