LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 2, 2016

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO MIAKA 50 YA SAYANSI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utengenezaji wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa  April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utengenezaji wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa  April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi cheti Lulu Kaaya mmoja kati ya washiriki wa mashindano ya aina mbalimbali ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa  April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi zawadi maalum Atibele Biyamungu mshindi wa kwanza kwenye Shindano la kuandika ESE katika maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa  April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaa  wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa  April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani. CPicha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages