Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida, Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam CCM,
Ramadhan Madabida, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Juliana Palangyo
wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Ujenzi wa Kituo cha Kufua umeme cha
Kinyerezi II nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa
Japan nchini Masaharu Yoshida , Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter
Muhongo, Mkurugenzi mkuu wa Tanesco Felchesmi Mramba wakivuta utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Ujenzi wa Kituo cha Kufua umeme cha Kinyerezi II nje kidogo
ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
kutoka Meneja wa Kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi I Mhandisi John Mageni
kuhusu utendaji kazi wa kituo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akianza ukaguzi katika Mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi I nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuhusu
ujenzi wa Kituo cha Kufua umeme cha Kinyerezi I nje kidogo ya jiji la Dar es
Salaam.
Meneja wa Kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi I Mhandisi John Mageni akitoa maelekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu mitambo ya kufua umeme kwa kinyerezi I nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa kinyerezi hawapo pichani kabla ya kuzindua rasmi Ujenzi
wa Kituo cha Kufua umeme cha Kinyerezi II nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco Felchesmi Mramba akifafanua jinsi ujenzi wa Kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II kitakavyokuwa mara baada ya kukamilika mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam CCM Ramadhani Madabida
kabla ya uzinduzi wa uzinduzi rasmi wa Ujenzi wa Kituo cha Kufua umeme cha
Kinyerezi II nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Balozi wa Japan Nchini Masaharu
Yoshida, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda , Mama Janeth Magufuli
wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TANESCO mara baada ya kuzindua
rasmi ujenzi wa Kituo cha Kufua umeme
cha Kinyerezi II nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa
makini mama mmoja alijitokeza kumpongeza kutokana na utendaji kazi mzuri wa
Serikali yake ya awamu ya tano mara baada ya uzinduzi rasmi ujenzi wa wa Kituo
cha Kufua umeme cha Kinyerezi II nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipowasili kwenye ofisi
za kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi I nje kidogo ya jiji la Dar es
Salaam.
Wananchi wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia huko Kinyerezi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇