Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha zake lililokuwa likifanywa na
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Neema Laizer Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Rais
amekuwa mtu wa kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam Paul
Makonda.
Mkaguzi
Msaidizi wa Polisi Neema Laizer (kulia) akiendelea na zoezi la kuhakiki Silaha
za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiitoa
silaha yake aina Bastola kwa ajili ya uhakiki Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam
Kamishna CP Simon Sirro kulia akimkabidhi Silaha aina ya Bastola Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara
baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam
Kamishna CP Simon Sirro kulia
akimkabidhi silaha aina ya shortgun Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara
baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
vizuri silaha yake aina ya Shortgun mara baada ya uhakiki uliofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kumaliza zoezi la kuhakiki silaha zake Ikulu jijini
Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha
kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
vizuri silaha yake mezani kwa ajili ya uhakiki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
dole gumba katika moja ya fomu za uhakiki Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇