Kontena la Maskani ya kisonge Mjini Unguja laripiliwa kwa bomu na watu wasiojulikanwa usiku wa jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shei akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Maskani ya Kisonge John Mwakanjuki leo wakati alipotembelea maskani hiyo baada ya kupata hasara kubwa ya mripuko wa bomu na watu wasiojuilikanwa usiku wa jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia hasara iliyopatikana katika Maskani ya Kisonge iliyotokea jana kwa mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa, (wa pili kushoto) John Mwakanjuki alipotoa maelezo zaaidi kuhu tukio hilo leo wakati alipotembelea maskani hiyo ,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akizungumza na wanachama wa CCM na wapenda amani wakati alipofika katika Maskani ya Kisonge Mjini Unguja leo kuangalia hasara iliyopatikana kutokana na mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa jana usiku,[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇