Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber Ally Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber Ally, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mkurugenzi wa Mashtaka DPP Bw. Biswalo Eutropius Mganga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Alhaji Abdallah Bulembo aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha
Mapinduzi CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha zote na IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇