Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula, akizungumza na Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, akizungumza na Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama,.
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula, akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka China.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇