Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Naibu Waziri wa Ardhi , Miundombinu, Uchukuzi, na Utalii wa Japan, Bw.
Takatoshi Nishiwaki baada ya kufungua
mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi
wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency-
Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Ujwnzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani.(Picha zote na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua
mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi
wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency-
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Januari 14, 2016.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇