Mchambuzi wa masuala ya Siasa
na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya
Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang,akihutubia wajumbe waliohudhuria mkutano ambao Chama cha Kikomunisti cha Watu wa China kilibainisha mapendekezo ya 13 ya mpango wa miaka 5 ya maendeleo ya uchumi na kijamii, kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena.
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akihutubia kwenye mkutano wa kuelezea mpango wa miaka mitano ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena, wengine pichani waliokaa meza kuu kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Ubalozi wa China,Ndugu Zhang Biao ,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Ramadhani Madabida, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukuza Urafiki kati ya Tanzania na China Ndugu Kahama.
Sehemu ya wajumbe walioshiriki mkutano huo ambao ulihusisha Wahadhiri wa Vyuo vikuu na wanafunzi,shirikisho la vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari na ujumbe kutoka chama cha Kikomunisti cha China.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇