LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 9, 2015

MAMA SAMIA AFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU MKOANI RUVUMA, WENGI WAMSIFU WASEMA NI MCHAPAKAZI

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili Uwanja wa Ndeg e mjini Songea kuanza kampeni za CCM leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akipokea heshima ya Kijana wa chipukizi wa CCM, Baada ya kuvalishwa Skafu alipowasili Uwanja wa Ndege mjini Songea
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akisalimia baadhi ya viongozi baada ya kuwasili mjini Songea
 Ngoma za burudani zikihanikiza kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia alipowaili Uwanja wa Ndege Mjini Songea
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia akiwasalimia baadhi ya viongozi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Songea
 Masafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM ukiwa njiani kwenda Kingerikiti mkoani Ruvuma kufanya mkutano wa kampeni
  Masafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM ukiwa njiani kwenda Kingerikiti mkoani Ruvuma kufanya mkutano wa kampeni
 Mama samia akiwasili Uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanyika Kingerikiti katika jimbo awilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
 Mama Samia akihutubia mkutano mdogo wa kampeni uliofanyika Kingerikiti wilayani Nyasa mkoani Ruvuma
  Mama Samia akihutubia mkutano mdogo wa kampeni uliofanyika Kingerikiti wilayani Nyasa mkoani Ruvuma
 Mama samia akimnadi mgombea Ubunge Injinia Stela Manyanya katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kingerikiti wilayani Nyasa mkoani Ruvuma
 Waanchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kingerikiti wiayani Nyasa mkoani Ruvuma
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia baada ya kuwasili Kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kingerikiti wilayani Nyasa mkoani Ruvuma
 Mama Samia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika





















No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages