Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas
Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za
maandalizi ya Kampeni hivi karibuni,Mh Kapunga amelazwa kwenye chumba maalum cha wagonjwa mahututi
(ICU) katika hospitali ya Rufaa mjini humo.
Mmoja wa Wauguzi walioko kwenye chumba maalum cha wagonjwa mahututi (ICU),akimpa maelezo mafupi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli alipokwenda kumjulia hali n kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za maandalizi ya Kampeni hivi karibuni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Wauguzi walioko katika chumba maalum cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Rufaa Mbeya,mara baada ya kumjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas
Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za
maandalizi ya Kampeni hivi karibuni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mke wa Meya Mama Kapinga mara baada ya kutoka
kumjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas
Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za
maandalizi ya Kampeni hivi karibuni.
PICHA NA MICHUZI JR-MBEYA
ujumbe toka kwa mzalendo mwema ninaye ipenda nchi yangu naomba wagombea ubunge udiwani na urais mnisemee hili kwa wananchi
ReplyDeletekwanza kabisa naomba wanannch waambiwe kuwa muungano wa ukawa sio rafiki kwa muungano wetu kwani mgombea mwenza wa ukawa anamalengo ya kuligawa taifa hili na kuwa na serikali tatu hiyo nadhani katumwa na mgombea wa cuf kutoka zanzibar kutekeleza azima hiyo
Pia chadema pamoja na vyama vinavyo unda ukawa wao wenyewe hawaelewani kwenye baadhi ya maamuzi kama kugawana majimbo wanatuambia kunachangamoto je kama wameshindwa kwenye hizo changamoto zao zetu wataziweza?
Mwisho mgombea wa urais kupitia ukawa kaingia kwa masilahi yake binafisi na kwa kuhakikisha hilo kaamua kuwalaghai waliokuwepo sasa kama anaweza fanya hayo je serikali ipo salama akipewa madaraKA?