Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya gwaride maalum
la kikosi cha Polisi FFU leo wakati wa Baraza la Idd katika Kusherehekea
Sikukuu ya Idd el Fitri, Sherehe za Baraza Idd lilifanyika ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na
waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa
kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na
waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa
kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja
Waislamu wa mitaa mbali mbali ya Mji wa
Unguja wakimsikiliza Sheikh Soraga(hayupo pichani) alipotoa hutba ya
swala ya Idd el Fitri leo iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman,
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na wananchi
wakiitikia Dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji
baada ya kumalizika kwa Swala na Hutba katika viwanja vya Maisara Suleiman leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi
na Mashekhe waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa madhumuni ya kupokea
mkono wa Idd na kusoma Dua katika Sikukuu ya Idd el Fitri
inayoadhimishwa Duniani kote. Kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa Mkono wa Iddi kwa wananchi mbali
mbali waliofika viwanja vya Ikulu mjini Unguja leo katika kusherehekea
Sikukuu ya Idd el Fitri
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za
Baraza la Iddi el Fitri zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama bwawani Hotel Mjini Unguja,
Baadhi ya Wake wa Viongozi na wananchi mbali mbali wakisikiliza hutuba ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo katika kusherehekea Sikukuu ya
Idd elFitri katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
Your Ad Spot
Jul 18, 2015
Home
Unlabelled
RAIS WA ZANZIBAR, ALHAJI DK. SHEIN AONGOZA WAISAM KATIKA SWALA YA EID ELHAJ NA BARAZA LA EID LEO MJINI ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR, ALHAJI DK. SHEIN AONGOZA WAISAM KATIKA SWALA YA EID ELHAJ NA BARAZA LA EID LEO MJINI ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇