Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa
na kampuni ya Sayed Corporation Limited kwa ajili ya hospitali ya
Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni hiyo, Bw. Masood ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es
slaam .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji
kutoka Marekani, Ofisi kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kulia
kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje,Liberata Mulamula
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani baada ya kuzungumza nao
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kushoto kwake ni Katibu
Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikikiano wa Kimataifa, Liberata
Mulamula.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Jun 1, 2015
Home
Unlabelled
PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA MAREKANI, APOKEA GARI LA WAGONJWA
PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA MAREKANI, APOKEA GARI LA WAGONJWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇