Mmoja
wa waratibu wa Semina ya madaktari kuhusu magonjwa ya ngozi, Jesinta
Mboneko, akimkaribisha mmoja wa washiriki hiyo, Muuguzi katika hospitali
ya Mbezi Medical Clinic inayojishughulisha na magonjwa hayo, Sarah
Nyabhenda, kwenye ukumbi wa semina hiyo katika hoteli ya Protea
Cortyard, Upanga jijini Dar es Salaam, jana jioni.
Baadhi ya washiriki wakianza kuingia kwenye semina hiyo
Mkuu
wa Idara Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS), Dk. Denis Russa
akiwakaribisha washiriki kwa ajili ya kuanza rasmi semina hiyo
Mratibu
Kiongozi wa semina hiyo, Mkurugenzi wa Mbezi Medical Clinic, Dk. Venant
Mboneko akitoa maneno ya utangulizi kabla ya mtaalam wa magonjwa ya
ngozi, kuanza kutoa mada kwenye semina hiyo
Dk.
Ranindra Babu kutoka nchini India, akitoa mada kuhusu maradhi ya ngozi
yalivyo na tiba zake, wakati wa semina hiyo ya madaktari kuhusu ugonjwa
huo, kwenye hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, jana

Mgeni
rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema Rusibamanyika Mkurugenzi (katikati)
kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. akifuatilia mada wakati Dk.
Babu akiendelea kuelezea kwa kina
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada

Mratibu wa semina hiyo, Jesinta Mboneko akifuatilia hali ya mambo kwenye semina hiyo
Mgeni
rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema Rusibamanyika kutoka Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii akizungumza baada ya kumsikiliza mtoa mada. Dk.
Neema amewashauri madaktari vijana, kubobea pia katika kutibu magonjwa
ya ngozi kwa sababu licha ya kwamba si miongoni kwa magojwa yanayotishia
uhai wa binadamu kwa kiwango kikubwa lakini yana madhara mabaya sana
kwa binadamu. Amesema, madaktari wengi hawakimbiliii kujiunga na fani ya
tiba ya magonjwa ya ngozi kwa kudhani pengine si muhimu sana kuliko
magonjwa mengine ndiyo sababu madaktari waliobobea katika tiba hiyo ni
wachache ikilinganishwa na walioko kwenye tiba ya magonjwa mengine. PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Mar 19, 2015
Home
Unlabelled
MADAKTARI VIJANA WAHIMIZWA KUBOBEA KATIKA TIBA YA MAGONJWA YA NGOZI
MADAKTARI VIJANA WAHIMIZWA KUBOBEA KATIKA TIBA YA MAGONJWA YA NGOZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇