Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akijumuikana Viongozi na waislamu katika kisomo
cha Hitma ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilishiwa Jimbo la
Magomeni (CCM) iliyosomwa leo jioni katika Msikiti wa Mushawal
Mwembeshauri Mjini Unguja hitma hiyo ilihudhuriwa na Waumini na
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu.]
Baadhiya Waislamu na Viongozi mbali mbali na wananchi wakiwa katika kisomo cha Hitma ya kumuombea Dua Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilichi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Mjini Unguja aliyefariki hivi karibuni Hitma hiyo ilisomwa leo jioni katika Msikiti wa Mushawal Mwembeshauri,[Picha na Ikulu.]
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitoa mawaidha baada ya kisomo cha Hitma ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilichi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Mjini Unguja aliyefariki hivi karibuni Hitma hiyo ilisomwa leo jioni katika Msikiti wa Mushawal Mwembeshauri,[Picha na Ikulu.]
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa shukurani kwa Viongozi mbali mbali Waislamu na Wananchi na wapenzi wa CCM baada ya kisomo cha Hitma Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa Mwakilichi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Mjini Unguja iliyosomwa leo katika Msikiti wa Mushawal Mwembesahauri Marehemu alifariki hivi karibuni na kuzikwa Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇