Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini mmoja wa wanafunzi wa masomo ya sayansi kidato cha kwanza katika shule hiyo ya Igomelo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mbeya baada ya kuzindua rasmi maabara ya masomo ya sayansi katika shule hiyo Feb 24 mwaka huu.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akipokelewa na wananchi wa Halmashauri ya Mbarali mara baada ya kuzindua rasmi maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Igomelo Februari 24, 2015. |
Wananchiwalio hudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa maabara |
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitoa salamu zake kwa wananchi waliohudhuria hafla hiyo. |
Mbunge wa jimbo la Mbarali Dickson Kirufi |
JAMIIMOJABLOG
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇