Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi katika Zahanati ya Kijiji cha Kimondo Kata ya Igoma Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya katika moja miradi ambayo Waziri Mkuu ametembelea katika ziara yake Mkoani Mbeya Feb 26 Mwaka huu.
Mkurugenzi Halmashauri ya Mbeya vijijini Ndugu Upendo Sanga akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo. |
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa eneo la tukio kuhakikisha ulinzi unaimalika . |
Wananchi wakifatilia hotuba ya Mheshimiwa Wazri Mkuu Mizengo Pinda . |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇