Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar akiongoza Ujumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi
Waasisi wa Taifa leo,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani (aliyesimama) akisoma taarifa ya wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa wakati wajumbe walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi (wengine) Mwenyekiti Vikabenga Nsa Kaisi (wa pili kushoto) na Aisha Ali Karume Mjumbe (kushoto),[Picha na Ikulu.]
Miongoni mwa wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa walipofika kuzungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo asubuhi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kutoka kulia) Aisha Ali Karume na Asha Kombo Haji na Rase-Mary J.Nyerere,[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment
ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇