Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya wa
Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa
mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu
Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu
Mkwawa, Kijiji cha Karenga leo Februari 16, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Chifu mpya wa

Mfwimi Adam Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu
Mkwawa, Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikweteakitia saini kitabu cha maombelezo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu
wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha
Karenga Februari 16, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam
Mkwawa leo katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa,
Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇