LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 28, 2015

BREAKING NEWS : KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA JIONI HII

Kapteni John Komba akitumbuiza enzi za uhai wake kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Kapteni John Komba amefariki dunia katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Mpaka kufa kwake Kapteni John Komba alikuwa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmasauri Kuu ya CCM Taifa na Kiongozi wa bendi ya TOT.

"Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe"

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages