Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba baada ya Wananchama zaidi ya 17 kuhamia CCM Karatu Mjini.
Mkutano Ukiendelea Mwananchama Mpya aliyeikacha Chadema akisalimiana na Mh:mwigulu Nchemba.
Mwigulu akisisitiza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni nguzo ya Kusimamia maendeleo ya Halmashauri zetu.Hivyo wachaguliwe viongozi wenye uwezo wa kusimamia maswala ya Umma.
CCM Oyeeee
Mwigulu "CCM haipo tayari kuela Mafisadi,yeyote anayehujumu Nchi nilazima achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Mwigulu akisisitiza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni nguzo ya Kusimamia maendeleo ya Halmashauri zetu.Hivyo wachaguliwe viongozi wenye uwezo wa kusimamia maswala ya Umma.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇