Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi
wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili
kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 kwa
ajili ya kuzungumzia juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu
ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuzungumzia suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Baadhi ya wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakishangilia wakati Mlezi wa CCM mkoa wao Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akizungumza nao leo. Picha na OMR

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇