LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 27, 2014

RAIS KIKWETE AANZA ZIARA VIETNAM

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wakikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo leo Jumatatu Oktoba 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya kutembelea kampuni ya mawasiliano ya VIETTEL Jumatatu Oktoba 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Nguyen Phu Trong, katika Makao Makuu ya Kamati Kuu ya Chama hicho tawala cha nchi hiyo Jumatatu Oktoba 27, 2014.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages