BREAKINGNEWS!!!! Mwandishi Wa siku nyingi Ben Kiko amefariki Dunia usiku Wa kuamia Leo Muhimbili.Source RFA.
Ben Kiko atakumbukwa kwa mchango wake katika uandishi wa habari na utangazaji, atakumbukwa pia kwa kazi nzuri alizowahi kufanya ikiwa kuripoti vita ya Kagera,
Ben Kiko aliwahi kuteuliwa kuwania tuzo pamoja na Edda Sanga, Phiri Karashani kuwania tuzo
ya waandishi mahiri waliofanikiwa
nchini.
Ben Kiko atakumbukwa kwa mchango wake katika uandishi wa habari na utangazaji, atakumbukwa pia kwa kazi nzuri alizowahi kufanya ikiwa kuripoti vita ya Kagera,
Ben Kiko (kushoto) akipokea Cheti cha kuwa mteule katika tuzo ya umahiri wa maisha ya taaluma ya uandishi wa habari (Picha na Adam Mzee)
Tuzo zinazojulikana kama EJAT zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇