Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikaribishwa na Chifu wa sasa wa wahehe, Abdul Adam Sapi, alipotembelea Makumbusho ya Mtemi wa Kwanza wa Wahehe Chifu Mkwawa, katika kijiji cha Kalenga, wilaya ya Iringa Vijijini, Oktoba 6, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akitazama kwa makini fuvu la Chifu Mkwawa kwenye makumbusho hayo.
Fuvu la Mkwawa ambalo lilirejeshwa na Wajerumani nchini baadaye, likiwa katika makumbusho hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akionyeshwa sanduku lililohifadhiwa vufu la Mkwawa na Wajerumani kabla ya kurejeshwa nchini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitazama baadhi ya bunduki alizotumia Mkwawa kupambana na wajerumani na wahasimu wake wengine katika vita kabla ya Uhuru. Kulia ni Msimamizi wa Makumbusho ya Mkwawa, Zuberi Mwamwitala.
Msimamizi wa Makumbusho ya Mkwawa, Zuberi Mamiwtala akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ngao na mikuki vilivyotumiwa na askari wa wa Mkwawa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshwa masalia na chuma, kilichokuwa kikitumika kufua zama mbalimbali za chuma ikiwemo majembe na mikuki enzi za Chifu Mkwawa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshwa barua iliyoandikwa na Mkwawa kwenda kwa wakoloni wa kijerumani.
Kinana akionyeshwa picha ya kuchorwa ya Chifu Mkwawa, katika Makumbusho hayo tena.
Picha ya Chifu Mkwawa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipiga marimba yaliyotumiwa na Chifu Mkwawa
Kinana akizuru kaburi la Spika Mstaafu Adam Sapi Mkwawa
Kinana akitoka kukagua Makumbusho ya Chifu Mkwawa
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa nje ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa
Your Ad Spot
Oct 7, 2014
Home
Unlabelled
KINANA AZURU KUMBUKUMBU YA CHIFU MKWAWA, KALENGA
KINANA AZURU KUMBUKUMBU YA CHIFU MKWAWA, KALENGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇