Frelimo na CCM wana urafiki mkubwa sana kiasi cha kusaidiana katika mikakati ya kupata ushindi kwenye chaguzi zao.
Kilifuatilia kwa karibu kwa kuwa pia CCM na Chama cha
FRELIMO ni vyama ndugu vyenye historia moja na ya pamoja ya Ukombozi Kusini mwa
Afrika.
Historia hiyo ndiyo iliyomfanya Rais Mteule wa nchi hiyo
Ndugu Filipe NYUSI mara baada ya kuteuliwa kwake na FRELIMO kugombea Urais,
nchi ya kwanza kuitembelea kuwa Tanzania.
Ikumbukwe kwamba huyu si mgeni hapa Tanzania. Kama
wanaharakati wengine wa ukombozi, Ndugu NYUSI aliishi Tanzania, anaongea vizuri
Kiswahili na anaichukulia Tanzania ni nyumbani.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇