TAREHE
|
SHUGHULI
|
19/10/2014-
22/10/2014
|
Mikutano ya Wanachama wote wa CCM Matawini kwa ajili ya
kuelimishwa na kuhamasishwa kuhusu Uchaguzi.
|
23/10/2014-
25/10/2014
|
Kuchukua na kurejesha Fomu za kuomba kugombea Uenyekiti
wa Mtaa, Kijiji, Kitongoji na Ujumbewa Serikali za Vijiji na Mitaa kwa
Makatibu wa Matawi ya CCM.
|
26/10/2014-
27/10/2014
|
Kampeni ya wagombea ndani ya Chama.
|
28/10/2014-
29/10/2014
|
Wanachama wa CCM kupiga kura za Maoni za Wagombea
Uenyekiti wa Kitongoji na Wajumbe wa Kamati ya Kitongoji kwenye Mashina
yanayohusika.
|
30/10/2014-
31/10/2014
|
Wanachama wa CCM kupiga kura za Maoni za Wagombea
Uenyekiti wa Kijiji na Wajumbe wa
Halmashauri ya Kijiji na vilevile kupiga kura za Maoni kwa Wagombea
Uenyekiti wa Mitaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa kwa Mijini. Kura
zitapigwa na wanachama wote wa CCM kwenye Matawi ya Kijiji au Mtaa husika.
|
01/11/2014-
03/11/2014
|
Kamati za Siasa za Matawi kujadili wagombea na kutoa
mapendekezo yake kwa Kamati za Siasa za Kata
|
04/11/2014-
06/11/2014
|
Kamati za Siasa za Kata kujadili wagombea na kutoa
mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu za Kata na kwa Kamati za Siasa za
Wilaya.
|
07/11/2014-
09/11/2014
|
Halmashauri Kuu za Kata kufanya uteuzi wa mwisho kwa
wagombea Uenyekiti wa Vitongoji.
|
10/11/2014-
11/11/2014
|
Kamati za Siasa za Wilaya kujadili wagombea na kutoa
mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu za Wilaya.
|
12/11/2014-
14/11/2014
|
Halmashauri Kuu za Wilaya kufanya uteuzi wa mwisho wa
Wagombea Uenyekiti wa Mtaa, Uenyekiti wa Vijiji, Wajumbe wa Kamati za Mitaa
na Wajumbe wa Halmashauri za Vijiji.
|
15/11/2014-
21/11/2014
|
Kuchukua Fomu na kurudisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
16/11/2014-
21/11/2014
|
Mafunzo ya wajibu wa Wagombea na Mawakala.
|
24/11/2014
|
Siku ya uteuzi wa Wagombea kwa Msimamizi.
|
Your Ad Spot
Oct 20, 2014
Home
Unlabelled
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATANGAZA RATIBA YAKE YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA CHAMA
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATANGAZA RATIBA YAKE YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA CHAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇