Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Soko la zamani, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, mwanzoni mwa ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, kukagua na kuhimiza utekelezaji ilani ya CCM. Picha na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇