ABaada
ya Kuingia Iringa Mjini,Mh:Mwigulu Nchemba akaamua kuingia Mtaani
kutembelea Matawi ya chama na Kuzungumza na Wananchi.Hapa Msafara wake
ukiwa soko la Mitumba Iringa Mjini,Vijana wa CCM Iringa Mjini wakiwa mitaani Iringa Mjini.Chipukizi wa Chama Cha Mapindizi Iringa Mjini wakiwa tayari kwa Kumpokea Mgeni Rasmi Mh:Mwigulu Nchemba.Mh:mwigulu akipewa mapokezi na chipukizi wa Chama cha Mapinduzi Iringa Mjini.Msafara wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ukielekea Viwanja vya Mkutano.Naibu
Katibu Mkuu CCM Bara Mwigulu Nchemba akiingia Viwanja vya Mwembetogwa
Iringa Mjini tayari kwa Kumsimika Kamanda wa UVCCM Ndugu Salim Asas.Vijana wa Chama cha Mapinduzi Iringa wakifikisha Ujumbe wao kwa Watanzania.Kiongozi
wa Madereva Bodaboda na Bajaji Iringa Mjini akisalimiana na Mh:mwigulu
Nchemba na Kupongezwa namna anavyosimamia Uendeshaji wa Bajaji na
Bodaboda Iringa Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akielekea Kupandwa Jukwaani tayari kwa Kuzungumza na Wakazi wa Iringa Mjini.
Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi.Mh:Mwigulu Nchemba akisisitiza Umoja ndani ya Chama na Jumuia zake.Sehemu
ya Mamia ya Wananchi waliofurika Uwanja wa Mwembetogwa kushuhudia zoezi
la Kuapishwa kwa Kamanda wa UVCCM Ndugu.Salim Asas.Mwigulu
Nchemba akzungumza na Wananchi waliofurika uwanja wa Mwembetogwa namna
Wizara yake ilivyoanza mikakati ya Kuhakikisha Fedha za Watanzania
zinatumika ipasavyo kwenye kazi za Maendeleo,Pia lisisitiza Kubana
matumizi serikalini ndio kipaumbele cha Ofisi yake kwa wakati wote wa
Utendaji kazi wake.Naibu
Katibu Mkuu CCM Bara Comrade Mwigulu Nchemba akipata picha ya pamoja na
Kamanda wa UVCCM Iringa Ndugu.Salim Asas.Katikati ni Mwenyekiti wa CCM
MKoa wa Iringa Bi.Jesca Mtasavangu.Baadae Mh:Mwigulu Nchemba alitawazwa kuwa Chief wa Kihehe kama Unavyomuona ndani ya Vazi la Kichifu.
Mh:Mwigulu Nchemba akiwaaga Wananchi waliofika kwenye Shughuli ya Kusimikwa kwa Kamanda wa UVCCM Iringa.
Picha/Maelezo na Festo Sanga.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇