LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 3, 2014

MANISPAA YA KINONDONI YATAKIWA ISIGAWE KWA UPENDELEO VIZIMBA KITUO KIPYA CHA BIASHARA UBUNGO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda na Naibu Meya wa Manispaa hiyo, Songoro Mnyonge wakiongoza wajumbe kukagua ujenzi wa Kituo cha Biashara kwa ajili ya Machinga na Mamalishe katika eneo la Kituo Kipya cha Mabasi kinachojengwa nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower, Ubungo jijini Dar es Salaam, leo.
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza, wakati wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kinondoni walipokagua maendeleo ya ujenzi wa eneo la biashara mahsusi kwa machina na Mamalishe, Ubungo
Katibu wa CCM Kinondoni Athumani Shesha akizungumza baada ya ujumbe kukagua
Ujenzi wa kituo hicho cha biashara unaoendeleo

HABARI KAMILI
NA BASHIR NKOROMO
Manispaa ya Kinondoni, imetakiwa kuchukua thabiti kuhakikisha hakuna   upendeleo utakaojitokeza wakati wa kugawa vizimba kwenye eneo la  kisasa la biashara lililojengwa na Manispaa hiyo katika eneo la Ubungo  jijini Dar es Salaam.INAENDELEA>BOFYA

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages