Anuary Mkama kutoka Radio Mlimani nchini Tanzania na mwenzake Amida Issa
kutoka Burundi leo wameagwa rasmi na kituo cha DW mjini Bonn, Ujerumani, baada ya kumaliza mafunzo
utangazaji kwa vitendo yaliyodumu katika kipindi cha miezi sita. Wote
wawili sasa wanajiandaa kurejea katika nchi zao kwenda kutuma ujuzi
waliouvuna kutoka DW Bonn, Pichani, Wafanyakazi wa DW baada ya hafla fupi ya kuwaaga watangazaji Anuary Mkana kutoka Tanzania na Amida Issa kutoka Burundi.
Anuary Mkama akikabidhiwa na Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed
Abdulrahman baada ya kupata mafunzo ya utangazaji kwa vitendo kwa miezi
sita.
Kutoka kushoto Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman, Amida Issa, mtangazaji mkongwe Sekione Kitojo na Anuary
Mkama
Your Ad Spot
Jul 16, 2014
Home
Unlabelled
WATANGAZAJI WAWILI KUTOKA TANZANIA NA BURUNDI WAAGWA LEO BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO DW MJINI BONN, UJERUMANI
WATANGAZAJI WAWILI KUTOKA TANZANIA NA BURUNDI WAAGWA LEO BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO DW MJINI BONN, UJERUMANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇