LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 11, 2014

MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA ZANZIBAR,AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABULI LA KARUME


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akimkaribisha Mheshimiwa Filipe Nyusi Mgombea wa nafasi ya Urais kutoka chama cha FRELIMO Msumbiji
 Wanachama wa FRELIMO wanaoishi Zanzibar wakimpokea Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama chao Mheshimiwa filipe Nyusi mara baada ya kuwasili Zanzibar.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwat iketi ya chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh  Abeid Amani Karume

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuonyesha Mgombea wa nafasi ya Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha FRELIMO Mh. Filipe Nyusi Kitabu cha Wageni ambacho kilisainiwa pia na Marehemu Samora Machel Rais wa Kwanza wa Msumbiji kwenye Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimkaribisha Mgombea wa nafasi ya Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha FRELIMO Mh. Filipe Nyusi ,Ikulu ya Zanzibara ambapo walifanya mazungumzo




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages